Ugonjwa wa scabies aka Burudani una madhara?

Ray2012

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
229
Reaction score
28
Wana jamvi mwenye ufahamu na hili gonjwa naomba atuelimishe, maana linashikaga pabaya, tusijekuta watu wanapata athari kubwa kiafya zaidi ya kujikuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngozi inakua ngumu kama ya mamba, unaamukiza na unaharibu ngozi. Ngozi ni first line of defence ikiwa na majeraha ni rahisi kupata maambukizi ya magonjwa mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…