Ugonjwa wa Seli mundu

Pencil

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
329
Reaction score
269
Habari waungwana.....

Ninaomba kufahamishwa juu ya ugonjwa wa Seli mindu (sikle cell) hasa dalili na matibabu yake.
Nb: Kama kuna link pia ni vyema kunijuza!

Nawasilisha.
 

Hivi unaposema inatibu sickle cell kw asiku saba unamaanisha nn hasa??

Anyway naamini sio vizuri kutumia tatizo la mwenzako kama njia ya kujipatia kipato
Mueleze ukweli yeye ndio aamue kama anahitaji au la
 
Asante kunifahamisha.
Barikiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…