mpebasi-jr
Member
- Aug 2, 2016
- 56
- 32
Naomba kufahamu matibabu ya ugonjwa wa tambazi ambao dalili zake ni maumivi ya mifupa ya mwili kwa ndani hasa mifupa ya mikono....
Ahsante
Ahsante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tambazi ni maradhi ambayo huathiri sehemu za mapaja na husababisha uvimbe kwenye mwili.Ninakushauri kama upo mjini Dar nenda kwa wale wanaopiga chukua aka Hijama wakupige hijama sehemu yenye hiyo Tambazi utapona.Naomba kufahamu matibabu ya ugonjwa wa tambazi ambao dalili zake ni maumivi ya mifupa ya mwili kwa ndani hasa mifupa ya mikono....
Ahsante