M mpebasi-jr Member Joined Aug 2, 2016 Posts 56 Reaction score 32 Aug 28, 2016 #1 Naomba kufahamu matibabu ya ugonjwa wa tambazi ambao dalili zake ni maumivi ya mifupa ya mwili kwa ndani hasa mifupa ya mikono.... Ahsante
Naomba kufahamu matibabu ya ugonjwa wa tambazi ambao dalili zake ni maumivi ya mifupa ya mwili kwa ndani hasa mifupa ya mikono.... Ahsante
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Sep 2, 2016 #2 mpebasi-jr said: Naomba kufahamu matibabu ya ugonjwa wa tambazi ambao dalili zake ni maumivi ya mifupa ya mwili kwa ndani hasa mifupa ya mikono.... Ahsante Click to expand... Tambazi ni maradhi ambayo huathiri sehemu za mapaja na husababisha uvimbe kwenye mwili.Ninakushauri kama upo mjini Dar nenda kwa wale wanaopiga chukua aka Hijama wakupige hijama sehemu yenye hiyo Tambazi utapona.
mpebasi-jr said: Naomba kufahamu matibabu ya ugonjwa wa tambazi ambao dalili zake ni maumivi ya mifupa ya mwili kwa ndani hasa mifupa ya mikono.... Ahsante Click to expand... Tambazi ni maradhi ambayo huathiri sehemu za mapaja na husababisha uvimbe kwenye mwili.Ninakushauri kama upo mjini Dar nenda kwa wale wanaopiga chukua aka Hijama wakupige hijama sehemu yenye hiyo Tambazi utapona.