Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Ndio Akinge (Urine) wake awe anakunywa kila Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa wiki moja aende kupima hivyo Vidonda vyake vya Tumbo vitakuwa Vimekwisha kauka na Matatizo yake yatakuwa yamekwisha nasema kweli simtanii hiyo dawa imewasaidia wengi.Kabla ya kunyw a:Mkojo wake akaupime hospitali je mkojo wake hauna maradhi yoyote yale? ndipo anaweza kutumia kwa kunywa.
Haiwezi kani uwe na maradhi ya Homa ya matumbo aka typhoid kisha unywe mkojo wako. Usifanye hivyo Dawa ya kutibu maradhi ya Vidonda vya Tumbo ninayo ukihitaji nitafute nipate kukutibia utatumia siku 21 na utapona kabisa vidonda vyako vya Tumbo. Ukihitaji dawa yangu wasiliana na mimi kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavuMzizi mkavu je mtu mwenye typhoid akinywa mkojo wake ili atibu vidonda vya tumbo ineeza kumletea tabu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kwako kuamini au kuto kuaminiMmmh kweli?
Kama una Unaweza kunywa Mkojo wako kwa siku 10 kunywa huo mkojo wako. Ila uhakikishe Mkojo wako kabla ya kunywa hauna maradhi. Uamke asubuhi ukojoe mkojo wako kwenye chupa ndogo yenye mfuniko kisha upeleke hospitali ukapimwe je huo Mkojo wako unaotaka kunywa hauna maradhi yoyote yale? Kama hauna maradhi Mkojo wako siku ya pili yake asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kinga Mkojo wako kipimo cha Glasi Moja kunywa asubuhi kabla ya kula kitu kila siku kwa muda wa siku 10 kisha nenda kapime Vidonda vyako vya tumbo utakuta hauna tena hivyo Vidonda vyako vya tumbo umepona kabisa.Wacha niulize machache kwa faida ya wengi kabla sijaja PM..
Kuhusu check up nimeumwa sana na nimepima kila kitu mpaka na endoscopy.So sina magonjwa yeyote..
Kama nakunywa dawa za vidonda mkojo wangu hauwez kua na effect yeyote...?
Kama tiba ya mkojo ni ya uhakika kuna haja gani ya kunywa hii dawa ya siku 21???
Nimekunywa dawa nyingi za kienyeji zipo zilizonipa nafuu ila sikupona kabisa na zipo ambazo nasema ni kama nimetapeliwa hazijanisaidia kabisaaa.Sasa swali langu nikinywa hio dawa ya siku 21 haikunisaidia inakuaje???
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu.Pole mkuu mimi niliumwa vidonda ya tumbo zaidi ya miaka 10 lkn tangu 2007 hadi sasa 2017 nimepona nakula kila kitu chenye gas n.k. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa ambao ni rahisi kupona punde unapotumia dawa na unapofuata mashart. Nenda Hospital yeyote kapige X ray ili ujue aina gani ya vidonda vyako ambayo vipo. Kuna xray OGD/ Endoscope hii ni Xray unaingizwa mpira tumboni ili iweze kuona wapi vidonda vipo au kuna Xray ingine inaitwa Barium Meal hii pia itagundua wapi vidonda vipo ni xray ambayo unapigwa ukiwa uchi.
Vijijidudu vya vidonda vya tumbo vinaitwa pylori hawa wadudu wanashambulia tumbo, ndio maana unapata maumivu makubwaa sana hasa vidonda vikiwa ktk utumbo wa dudenum.
Dalili:
. Choo kikubwa kinakuwa kama cha mbuzi
. Unaweza kaa siku hata 5 bila kupata haja kubwa.
. Kuwa na hasira, kusikia kiungulia mara kwa mara
. Kusikia maumivu chini ya chembe
Dawa:
Emaprazole au Lamsoorazole au Gastrocid ya maji au Metronidazole.
KAMA UPO VIZURI KIFEDHA.
NUNUA dawa inayoitwa HELIGO KIT hii dawa ni nomaa inauwa wale wadudu wa pylori.
Masharti yake:
. Acha kukaa na mawazo
. Acha kukaa na hasira
. Acha kabisa sex kwa miezi 3 hadi 5
. Acha kula vyakula vyenye asili ya gas, mafuta
. Acha kula nyama kavu kama samaki kukaanga, chipsi
. Baadhi ya Dawa haziruhusuwi kama Panadol.
. Acha kula mboga za kisamvu, majani kunde, majani maharage nk
. Acha soda, pombe, embe, nanasi wala juice.
Ukifuata MASHARTI VIDONDA VYA TUMBO UNAPONA.
"NITAFUTE NIKUSHAURI NISHAKUWA MUHANGA MIMI SAIV KILA KITU NAKULA"
Mbona mkuu ulisema aende kanisani na sii kanisani na msikitini.ahaa oky mi nina dalili zote za vidonda infact nipo kwenye dozi fulani hivi ya kurejesha mfumo wangu wa vimengenyo ukae sawa nikimaliza ntacheki kama nina vidonda halafu nitanza kutumia hii dawa yako nitibike
AsanteKwanza badilisha life style, chakula chako kikubwa kiwe stemmed cabbage na parachichi, chai chemsha mdalasini weka asali mbichi.
Walioingia darasani watakueleza tiba zaidi.
Hiyo laki tisa watu wanaimendea bure utapigwa!Habari za muda huu wadau nimeteseka sana na vidonda vya tumbo sasa nataka ushauri hospitali gani niende naweza pata vipimo vizuri vikanisaidia,hapo mwanzo nilikuwa naenda hospital za kawaida kutokana na kipato ila kwa sasa nimekusanya pesa kama laki tisa kwa ajili ya kwenda kupata vipimo vya uhakika,Nitangulize shukran kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo haina haja ya kwenda hospital kubwa kupata vipimo vya uhakika?Hiyo laki tisa watu wanaimendea bure utapigwa!
Vidonda vya tumbo havitibiwi na drugs/ chemical za hospital,
Unapona kwa kubadilisha eating life style tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Laki Tisa zote hizo za Nini? Mbona kupona haifiki hate laki tatu. Vidonda sio tishio Tena ,unapona kabisa ,mdogo wangu kapona na anakula vyote vivyokuww vinamsumbua hapo awali kabla ya kuponaHabari za muda huu wadau nimeteseka sana na vidonda vya tumbo sasa nataka ushauri hospitali gani niende naweza pata vipimo vizuri vikanisaidia,hapo mwanzo nilikuwa naenda hospital za kawaida kutokana na kipato ila kwa sasa nimekusanya pesa kama laki tisa kwa ajili ya kwenda kupata vipimo vya uhakika,Nitangulize shukran kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu alitumia dawa gani?Laki Tisa zote hizo za Nini? Mbona kupona haifiki hate laki tatu. Vidonda sio tishio Tena ,unapona kabisa ,mdogo wangu kapona na anakula vyote vivyokuww vinamsumbua hapo awali kabla ya kupona
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipona kwa njia ipi mkuuLaki Tisa zote hizo za Nini? Mbona kupona haifiki hate laki tatu. Vidonda sio tishio Tena ,unapona kabisa ,mdogo wangu kapona na anakula vyote vivyokuww vinamsumbua hapo awali kabla ya kupona
Sent using Jamii Forums mobile app
Tiba lakin sasa nimetumia dawa nyingi hakuna uafadhari,ndo maana nikataka kupima vipimo kwenye hospital kubwaUnatafuta vipimo au tiba?