Mkuu nikupe ushauri wa bure na inaweza kukugharimu kiasi tu kama ushapimwa ukakutwa na bakteria wa hpyrol basi omba vidonge vya Heligo kit hizo dawa ni bomba ila madaktari wengi humpa mgonjwa dozi moja tu yaani dawa za siku saba tu kisha hukupa dawa zingine kwa muda wa mwezi mzima. Sasa ushauri nilipata kwa Dr mzoefu. Hizo dawa unatakiwa uzinywe set tatu kila siku hadi wiki tatu ziishe tumia ujanja wako maana madokta watakukatalia wakijua ushatumia zaidi ya wiki mbili. Tatufa hata mtu akununulie ukishindwa wewe.Habari za muda huu wadau nimeteseka sana na vidonda vya tumbo sasa nataka ushauri hospitali gani niende naweza pata vipimo vizuri vikanisaidia,hapo mwanzo nilikuwa naenda hospital za kawaida kutokana na kipato ila kwa sasa nimekusanya pesa kama laki tisa kwa ajili ya kwenda kupata vipimo vya uhakika,Nitangulize shukran kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri leo ndo naenda hospital moja iko makete inaitwa ikonda nikapime vipimo vyote vya tumbo nitarudisha feedbackMkuu nikupe ushauri wa bure na inaweza kukugharimu kiasi tu kana ushapimwa ukakutwa na bakteria wa hpyrol basi omba vidonge vya Heligo kit hizo dawa ni bomba ila madaktari wengi humpa mgonjwa dozi moja tu yaani dawa za siku saba tu kisha hukupa dawa zingine kwa muda wa mwezi mzima. Sasa ushauri nilipata kwa Dr mzoefu. Hizo dawa unatakiwa uzinywe set tatu kila siku hadi wiki tatu ziishe tumia ujanja wako maana madokta watakukatalia wakijua ushatumia zaidi ya wiki mbili. Tatufa hata mtu akununulie ukishindwa wewe.
Ni hivi hizo dawa first wiki inaua wadudu ila sio wote second week inakausha vidonda na third week inatengeneza makovu sehemu zilizokuwa na vidonda. Hivyo ukipona hata pilipili utakula bila khofu.
Dawa huwa zinanguvu kama afya yako ni mgogolo hutaweza zimaliza na utapona kwa muda tu.
Unywaji wa dawa unafuata kama maelezo yake picha ya mwezi unakunywa usiku na picha ya jua unakunywa asubuhi. Kiujanja kula chakula robo sahani kisha meza dawa and then malizia msosi wote uufute sahanini . Hautasikia kabisa nguvu ya hizo dawa.
Amini Amini nakufahamisha wengi walionisikiliza walipona hata kama unaumwa kifua maana hao wadudu hutafuna hadi kifua njia ni hiyo hiyo.
Ukipona uje ugonge like.
Asantee sanaUkienda hospital unaweza ukapewa HELIGO KIT, hii ni dawa nzuri sana ya vidonda vya tumbo na ukizingatia maelekezo utakayopewa unaweza ukapona kabisa.
Lakini kitu kikubwa ni DIET, Jaribu kufuatilia ushauri juu ya vyakula gani ule na vyakula gani usile uliotolewa na wachangiaji waliotangulia kabla yangu.
POLE SANA, MWENYEZIMUNGU ATAKUPONYA [emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu nimeshatumia hiz dawa za kisasa but sijapata mafanikio ndo mana nauliza tiba mbadalaMmmh kupona inategemea na stage vilivyo fikia
MKAA WA KIFUU CHA NAZIKwa mwenye msaada wa dawa au tiba ya vidonda vya tumbo wakuu naomba anifahamishe.Natanguliza shukran
asante mkuu nimeshatumia hiz dawa za kisasa but sijapata mafanikio ndo mana nauliza tiba mbadala
Huu ndo uzuri wa forum kama huu wa kupata tiba za maradhi suguMama yangu alikua anatatizo hili,niliona thread humu kuhusu mkojo aisee hii ni dawa tosha,alitumia kama siku tatu tu akapona,na juzi ametoka kufunga wala hakupata tatizo,
MATUMIZI.
Kinga mkojo wa asubi na kunywa wote kila siku kwa siku 3 au 4 dozi imeisha,zingatia kunywa maji mengi ili asubui upate mkojo ambao hauna makali sana.
Mkuuu mkojo kweli ni dawa? Usiongee kiutani mkuu, watu wako serious wanaumwa kweli na wanahitaji msaada wa kweli mkuu.Mama yangu alikua anatatizo hili,niliona thread humu kuhusu mkojo aisee hii ni dawa tosha,alitumia kama siku tatu tu akapona,na juzi ametoka kufunga wala hakupata tatizo,
MATUMIZI.
Kinga mkojo wa asubi na kunywa wote kila siku kwa siku 3 au 4 dozi imeisha,zingatia kunywa maji mengi ili asubui upate mkojo ambao hauna makali sana.
Wachina wanatumia sana tiba hii, tena sio mpaka waumwe. Wanatumia ili kuweka mwili fit, especially tumboni.Mkuuu mkojo kweli ni dawa? Usiongee kiutani mkuu, watu wako serious wanaumwa kweli na wanahitaji msaada wa kweli mkuu.
Mkuu serious ulishuhudia kabisa anakunywa mkojo, manake nataka nianze kesho kunywa nasumbuliwa sana na vidonda vya tumboWachina wanatumia sana tiba hii, tena sio mpaka waumwe. Wanatumia ili kuweka mwili fit, especially tumboni.