Upo mkoa gani nitafute dm hata mimi nilikuwa kama wewe lakini nimepona pole sana
Mamba yangu hio +254714052124 nipo kenya naumwa nitumie ujumbe whatsappDawa ya vidonda vya tumbo ipo japo ni ngumu kuamini hata mimi nimeteseka kwa muda mrefu sa ivi niko fresh nitafute dawa unakunywa mara moja tu
Inauzwa kiasi gani wengine tuna gastritis ambayo huwa ni tofauti na ulcer sijui kiswahili chake niite nini but nilivyoambiwa hospital ni gastritis.......
Kiongozi niombe kujua dawa uliyotumia ukapona hii kitu.Duu, pole mkuu,
Mimi vimenisumbua kwa zaidi ya miaka 10. Kuna jamaa kanitibu kwa dawa asili na nimepona.
Niliweka uzi hapa ili wengine wenye shida kama hiyo wapate msaada Mods wakaifuta nahisi ni kwa kuhofia utapeli mwingi.
Tusaidie basi na Sisi bro tupone maana hatari kwakweliDuu, pole mkuu,
Mimi vimenisumbua kwa zaidi ya miaka 10. Kuna jamaa kanitibu kwa dawa asili na nimepona.
Niliweka uzi hapa ili wengine wenye shida kama hiyo wapate msaada Mods wakaifuta nahisi ni kwa kuhofia utapeli mwingi.
Tafuta mbegu za basil loweka kijiko kimoja Cha chakula katika maji glass 1, ziache kwa SAA 12 ziyayuke ziwe kama Sufi Kisha kunywaKwa yoyote anayejua dawa ya asili ya vidonda vya tumbo naomba anijuze tafadhari
AsantePole sana... Ngoja waje kukupa muongozo...
Asante SanaAsali halisi ambaye haijachujwa inaenda kuzima vidonda
Naomba msaada wa hizo mbegu kama zinafananaje au kam una picha yake nizioneTafuta mbegu za basil loweka kijiko kimoja Cha chakula katika maji glass 1, ziache kwa SAA 12 ziyayuke ziwe kama Sufi Kisha kunywa
Niko mbali nako aiseeUpo wapi mdau? Kama upo jirani na Makambako nitafute nikuoneshe hiyo dawa. Ni bure kabisa. No charges.
Sawa kesho nitaku tumia. MkuuNaomba msaada wa hizo mbegu kama zinafananaje au kam una picha yake nizione
Asali pia ni dawa unachanganya na kuna Dawa ya mti fulani hivi kwa kweli jina lake silijui ila ipo vizuri sana ,nilienda mkoani nikaenda mwenyewe kuchimba huo mzizi alafu inatwangwa inakuwa kama unga ndio unatumia ukishachanganya na Asali,upo maeneo gani nikupe bure kabisa hii dawa maana nilibakisha baada ya mgonjwa kuona amepona.Kwa yoyote anayejua dawa ya asili ya vidonda vya tumbo naomba anijuze tafadhari
NikoDar es laamAsali pia ni dawa unachanganya na kuna Dawa ya mti fulani hivi kwa kweli jina lake silijui ila ipo vizuri sana ,nilienda mkoani nikaenda mwenyewe kuchimba huo mzizi alafu inatwangwa inakuwa kama unga ndio unatumia ukishachanganya na Asali,upo maeneo gani nikupe bure kabisa hii dawa maana nilibakisha baada ya mgonjwa kuona amepona.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app