Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

MBONA KAMA DAWA NYINGI SANA HIZO,SIO NDIO UNAMMALIZIA KABISA MGONJWA MKUU?POLENI NWAY,MUNGU AMTANGULIE AMPE NAFUU AISEE..
 
Aisee...pia mwambia apunguze mawazo, maana akiwaza ndio anazidi kuzidishs
 
Nimuhimu kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu ikajulikata hivyo vidonda vinasababishwa na nini. Baada ya hapo dactari ataweza kumsaidia vyema. Jaribu kutumia asali mbichi (Not processed) kula. Kunywa maji ya nazi au dafu.
 
Chukua triple therapy
Caps amoxicillin 500mg tds kwa siku 7
Tabs metronidazole 400mg tds kwa siku 7
Cap omeprazole 20mg bd kwa siku 7
pia waweza tumia ULGEL syrup.


Daktari huyu ndugu inawezekana ameshaingia katika complicationa ya PUD ambayo imempelekea kupata perforation eventually peritonitis, ukiangalia historia vizuri ni kwamba ana vomit blood pia ana abdominal distension, he/she needs an urgently management probably even blood transfusion.


Kama ni dawa kasema katumia sana, I think your provisional management won't work in this typicall patient since has got chronic features and not the acute ones!!
 
Kula kabichi kwa wiki 2 mfululizo. Unaweza kula bichi, kutengeneza juice, salad, kulipika kama mboga. Unaweza kula pekee au kuchanganya na mboga nyengine kama carrots. Kula Ndizi mbivu. Maziwa ya Mbuzi. Epuka alcohol na sigara kama unatumia.
 
Chukua triple therapy
Caps amoxicillin 500mg tds kwa siku 7
Tabs metronidazole 400mg tds kwa siku 7
Cap omeprazole 20mg bd kwa siku 7
pia waweza tumia ULGEL syrup.
Hii kwa mgonjwa yoyote wa vidonda vya tumbo? Mimi pia vinantesa sana ila sijafikia hatua ya huyo mgonjwa,tumbo kujaa gesi na kichefuchefu kutwa
 
Ushauri uliopewa na wenzangu asipo pona huyo rafiki yako mwambie anaitafute mimi ninaweza kumtibu vidonda vyake vya Tumbo na akapona ukihitaji tiba toka kwangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Wanajamvi Mungu awabariki sana. Naanza kujaribu moja baada ya nyingine. Wa PM nakufuata sasa ivi inbox. Mzizi mkavu ngoja nichukue contact zako. Wote mliochangia na mnaoendelea kuchangia tiba na ushauri wenu ni muhimu sana.
 
Madonda ya tumbo je? watu kuamin kumekuwa vigumu, lkn kwa ww ambaye unasumbuliwa na tatizo hilo ucijiulize mara mbili mbili tiba ndoo hiyo, karibun xana . Asanten na jion njema
 
Madonda ya tumbo je? watu kuamin kumekuwa vigumu, lkn kwa ww ambaye unasumbuliwa na tatizo hilo ucijiulize mara mbili mbili tiba ndoo hiyo, karibun xana . Asanten na jion njema

Yaani unavyoita MADONDA badala ya vidonda ndio unatutisha tuogope ili tununue dawa yako au?
 
Jamani naombeni msaada wenu hususani kwenye suala la Afya ambapo nimejaribu kutumia dawa za kawaida za Hospitali kuhusu Vidonda vya Tumbo(Alces) lakini bsdo naona ni tatizo hivyo nahitaji ushauri wenu kwa yeyote aliyewahi kupona kabisa anishauri nitumie dawa ipi kwa kupona kabisa. Ahsanteni
 
Best nina rafiki yangu alikuwa anateska sana,dawa alishauliwa atumie maziwa ya ngamia, baada ya kutumia hadi Leo yuko vizuri. ARUSHA mjini karibu na stand kuna msikiti pale ndo yanauzwa. Pole sana Mungu akuponye
 
Dawa ni nyingi sana, ila kabla ya dawa nakushauri uende kwa wataalamu, na pima vipimo muhimu kujirizisha kwanza kabla ya tiba, mfano
1.H.pylori test
2.abdominal utrasound especially kama umefikia stages mbaya yaani complications, kama vile perforations
3.oesphageal gastro duodenalscopy (ambacho ndicho sahihi kwa tatizo lako, yaani Diagnostic test)
4.lkn pia tambua tiba sahihi ina husisha kuepuka risks factors, yaani vyanzo vya tatizo, kama sigara, pombe, stress, dawa baadhi NSAIDs,vyakula nk,
.tiba dawa ,na hatua ya mwisho pia ni upasuaji !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…