Ugonjwa wa vitanga/sunzua unavyosababisha kansa

Ugonjwa wa vitanga/sunzua unavyosababisha kansa

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
Kwa jina lingine hujulikana kama GENITAL WARTS.

VERRUCHE-MANI-300x202.jpg

SUNZUA ni ugonjwa wa ngozi unao sababishwa na virusi vya aina ya HUMAN PAPILOMA {{ HPV }} ambapo huota kama vipele au vinyama ambapo mara nying unapo kitumbua ndo huongeza vingine, ila ukitumbua na kupaka dawa hukauka.

SUNZUA mara nyingi huota kwenye sehemu za siri haswa sehemu za siri za mbele na pembene mwa uume au uke na hata nyuma ndio sababu ya watu wengi kutopenda kusema kwa kua huona aibu

Ni ugonjwa unao weza tokea sehemu nyingine za mwili kama vile
•mikononi
•usoni na
•mdomo haswa pembezoni mwa mdomo kwa wale wenye kunyonya sehemu za siri.

Huu ugonjwa husambwazwa kwa kupitia kufanya jimai(tendo la ndoa) haswa panapo kua na michubuko ndio maana wanawake wengi hupata ugonjwa huu kutokana na maumbile yao kua malaini.

MADHARA YA UGONJWA HUU.

HPV sio kwamba ni kirusi cha aina moja hapana wako wa aina mia moja 30 kati yao husababisha maradhi ya ngozi kwenye sehemu za siri na vipele KUONEKANA hao ni type 6 na type 11.

70% ya wanao bakia hua ni wale wanao athiri sehemu zingine za mwili kama mkononi usoni na miguuni.

ZINGATIA.
Ipo HPV isiyo onekana kwenye viungo vya siri yaani vinaota ndani mara nyingi hupelekea kansa ya shingo na atakae nyonya kiungo hicho hupelekea kupata kansa koo.
 
Back
Top Bottom