Ugonjwa wa " watu watanionaje " katika biashara za vijana

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,278
Reaction score
956
Watu wengi sana tumekuwa tukijikuta tunashindwa kufanya maaamuzi muhimu Katika Maisha tu Kwa kuogopa "WATU WATANIONAJE "

hii Watanionaje Syndrome ni ugonjwa mmbaya sana sababu ni Kitu ambacho ni beyond your control..... Huwezi control vile watu wanafikiria juu yako hata ukifanya jambo in good faith yaani kwa nia njema kabisa jua tu kuna watu wata kutafsiri vingine.... Utasikia.. ..hana lolote.... Anajifanya anajua..... Ana agenda ya siri..... .sio hivi hivi kuna mkono wa mtu..... Ni baadhi tu ya maneno watu watakusema.... Cha msingi weee tenda wema nenda zako usijali watu Watanionaje. Jali katika hili Mungu ananionaje .

Nikitaka nibaini una akili ya kusonga mbele , sitaona huu ugonjwa wa watu watanionaje

Mimi mwenyewe natuma na kupost hizi jumbe katika facebook , forums mbalimbali , ili angalau mtu mmoja tu afunguke kichwani na kumshukuru Mungu.

Nilifanya uchunguzi
Huu ugonjwa " WATU WATANIONAJE " umewashika wengi na ndiyo unaleta umaskini sana kwa vijana. simu kubwa ya laki 8, mtaji huna pumbavu wewe!!!!!!, lazima utakuwa na haka kaugonjwa njoo tukuombee , urudi katika mstari

Be inspired kwa injili ya kisasa kwa watu wa kisasa , amini Yesu alikufa msalabani ili upate kila kitu unachohitaji . BARIKIWA SANA
 
Umeonge point tupu mkuu, hii ni post bora ya mwaka.
 
Ujumbe mzuzi. Ulichokosea ni kuweka tusi la kuita mpumbavu.
 
Umeanza vizuri sana... Bahati mbaya umekuja kumaliza vibaya sana...
Umenitia kichefu chefu kwa kweli...
Habari za yesu kufa msalabani nishaga achana nazo tangu 2014.
Masuala ya kuning'iniza sanamu shingoni nani anataka tena....


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…