yahya audax
Member
- Apr 26, 2013
- 5
- 0
Jaman uwez amin kuhumwa niki2 kibya sana tena endapo aujui unacho umwa kuna jamaa katibiwa kila hosapital lakin akuna nafuu ila alikutana na doctor kutoka tumbi akagundua ansumbuliwa na ciphilicx gonjwa la zinaa vipele mwili mzim adi kutengwa kumbe aja athirika
pole sana mkuu kwa yaliyokukuta ,ni wewe mwenyewe unajifanya eti jamaa.nendeni hospitali mapema .mficha ucho hazai!!!!jaman uwez amin kuhumwa niki2 kibya sana tena endapo aujui unacho umwa kuna jamaa katibiwa kila hosapital lakin akuna nafuu ila alikutana na doctor kutoka tumbi akagundua ansumbuliwa na ciphilicx gonjwa la zinaa vipele mwili mzim adi kutengwa kumbe aja athirika
Yaani mtu aumwe STD halafu madaktari tushindwe kugundua! La hasha nadhani huyo alikuwa ni mchoyo wa maelezo kwa madaktari wengine kwa kuwa alishatambua aibu itayo mpata.
Hongera kwa madaktari wa Tumbi kwa kuwa wadadisi zaidi.
Na kwa wewe mgonjwa, naona mnajitafutia matatizo ya bure kwa kukosa uwazi.