Ugonjwa wakukojoa damu tiba yake ni nini

Ugonjwa wakukojoa damu tiba yake ni nini

NMP

New Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Hello.
Nimepata tatizo ambalo limejitokeza hivi karibuni lakukojoa mkojo wenye damu. Nimeenda hopsital nikaambiwa nifanye vipimo vya mkojo. Zoezi hilo lilifanyika bila kuona tatizo. Dactory akaniambia labda ni kichocho. Hivyo akaniandikia dawa yakichocho "preziquatel 1500mg " nimemalizs dozi jana lakini sijaona mabadiliko yoyote.

Je nahitaji kujua kama bado nikamuone doctor or kuna dawa mbadala nitumie maana naumia sana hasa wakati wakukojoa. Kama ni dawa za antibiotic nimeshamaliza tatizo ni nini. Na huu ugonjwa unasababishwa na nini jamani.
 
Hizo prazquantel ulimeza kwa mda gani ? Na una umri wa miaka mingapi ? Maana hy dozi sijaelewa inawezekana umekuwa below dosage according to body weight!!
 
Back
Top Bottom