Ugonjwa wangu sitaki kuuficha

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Habarin za weekend

Mim mwezenu mgonjwa sana napumulia mashine nikiwa natafuta kazi basi nilibahat kupata kazi sehemu moja uko posta sasa nilifurah nikasema now nitaweza kumudu familia mahitaj yake nisijue kuwa privete sector ni wanyonyaj picha inaaza hakuna nssf pili unapewa mkononi kiasi ambacho hakina kiwango maalumu yaan analipa kwa asilimia nikasema nitapambana mi wakiume


Duh now napumulia gesi siwez lipa pango bila ya huyu mdada wa wat kuwa mvumiliv nae anachangia kit ingekuwa jau now naona aibu yaan nahis uyu mchumba ndie ana nifanya nihish mjin japo yeye huwa anatengeneza mazingira ya mim kuwa free but na fear sana


What h
 
Nimeamua kuandika hivyo kwa sababu wa jf ukisema rafik yak anapitia changamot fulan una ambiwa ni wew that why am said me but my friend
 
Kuna se
Nimeamua kuandika hivyo kwa sababu wa jf ukisema rafik yak anapitia changamot fulan una ambiwa ni wew that why am said me but my friend
Kwahiyo si wewe unapumulia gas?

Using’ang’anie kazi ya maumivu pambana tafuta mahala pengine pia mshukuru Mungu kwa kukupa mwenza anayekupush kwenye changamoto,usikae kizembe pambana pia
 
Sijakuelewa yan unaongelea nn
 
Kiufupi ni kwamba HAPO UMESHAOLEWA TAYARI.
 
Namtamani huyo dem awe wangu?
 
Umasikini si kilema,matatizo ya dunia
Heri kufa masikini kuliko kushimangiwa na walimwengu
[emoji445] Heri kufa masikini kuliko kushimangiwa na walimwengu tamaa ilimuua fisi[emoji445] [emoji443] [emoji444]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…