Ugonjwa

Ugonjwa

Mkuu dalili hiyo ya maumivu ya kichwa cha kuja na kuacha huwa ni dalili ya ugonjwa unaoitwa Typhoid.

Ndio ugonjwa ambao unakua na headache ya on na off, pia inakua na fever (joto kupanda) on na off
Yani linapanda kwa siku 1 au mbili then unapata nafuu tena siku moja au mbili then tatizo linarud tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpuuzi wew huyo aliyekushaur kunywa maji mengi, tayar umempa shukuran.

Mimi nakutaji ugonjwa nataka nikupe na dawa.

Unaniona chokoraha ety??????

Sasa nenda hospital ukatoe hela upate matibabu usituchoshe....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom