kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 613
- 791
Naombeni ushauri, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 ila ninapenda kula UGORO kwa takribani miaka 6 sasa toka niko A level Morogoro Sekondari, Chuo UDSM na sasa niko kitaa nawait ajira ila kila nikitaka kuacha kula Siwezi kabisa. Sasa nishaurini Dawa ya kuacha kula UGORO maana ndio STIMU yangu ya kila siku kutwa zaidi ya mara 7 lazima nile.