Apo ukiacha geji unabd uanzee kula fegi ili kupotezea arosto mkuuNaombeni ushauri, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 ila ninapenda kula UGORO kwa takribani miaka 6 sasa toka niko A level Morogoro Sekondari, Chuo UDSM na sasa niko kitaa nawait ajira ila kila nikitaka kuacha kula Siwezi kabisa. Sasa nishaurini Dawa ya kuacha kula UGORO maana ndio STIMU yangu ya kila siku kutwa zaidi ya mara 7 lazima nile.
Kuwa na Nia ya dhati kabisa ya kuacha na anza kuacha pole pole. Kama ulikuwa unakula Mara 7, punguza Hadi Mara 6 then 5 Hadi uache kabisa. Huwezi kuacha kwa gafla Utapata arosto, pole pole tu Hadi mwili uzoee.
Pia omba Mungu Maana kutoka kwenye addicted ni ngumu, wengi wanaacha Halafu Wana relapse Yani wanarudia Tena.
All the best Brother