Mghoshingwa
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 305
- 73
Ndugu daktari na Wadau wengine wenye ufahamu wa jambo hili, ama mambo mengine ya afya ya uzazi naomba kufahamu, Ugumba kwa wanaume hasa ni kitu gani kwa kuzingatia yafuatayo:
Tafadhali naomba kufahamu ili NIONGEZE MAARIFA KENYE SUALA HILI.
- utajuaje kuwa ni mgumba? (dalili if any) UKIACHANA NA KWENDA HOSPITALI
- kuna aina ngapi za ugumba kwa wanaume?
- tiba zake ni zipi
Tafadhali naomba kufahamu ili NIONGEZE MAARIFA KENYE SUALA HILI.