Ugumu huu wa maisha na kukosea kwa baadhi ya mambo ni wazi kuwa sisi binadamu si wakamilifu.

Ugumu huu wa maisha na kukosea kwa baadhi ya mambo ni wazi kuwa sisi binadamu si wakamilifu.

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Jaribu kufikiria mala mbili mbili tena kwa umakini...
Kwa nini kitu fulan unacho jarbu kufanya hakifanikiwi..?

Kwann uliutumia usichana wako vibaya?

Kwann huna mume hadi sasa na ni rika la kuolewa...?

Kwann ulie mpenda kakuzalisha kisha hajakuowa...?

Kwann ulipata mimba bila kukusudia...?

Kwann mtu furani anakukosesha raha wew...?

Kwann rafik yako unae muamini kawa mbaya kwako....?

Kwann hutakacho hupati...?

Kwann kila mala umekua na ugonvi na mke au mume wako...?

Kwann ww mvivu hutak kufanya kazi..?

Kwann walio kuzunguka wengi wanakukosea heshima wew..?

Kwann unatamaa ya ngono mala kwa mala..?

Kwann una dreams kubwa kubwa, kuwa na magar, kwenda mambele na hujafanikisha bado..?

Jiulize mala mbilimbili Mungu wako aliye kuumba anataka wew ufanye kitu gani ndani ya hii dunia????

Nataka nikwambie, weka fikira zako sawa kwa Mungu wako, na Tambua ya kua Mungu anazungumza na kila binadamu kupitia ndoto,
Kila binadamu alalapo usingizi huota ndoto.
Mungu hukuletea maono, je maono hayo unayafanyia kazi??
Mungu wako pekee ndio aijuaye njia sahihi.

"Hearing God through your Dreams" hiki ni kitabu.

Binadamu sisi sio wakamilifu, Mungu hukuwekea watu wanaofaa kukusuport lakin tatizo linakua kwako kushindwa kuchagua anae faa kwako, na kuwa na wale wasio kuwa na mambo ya maana kabisa, unapendezwa nao kwa sababu za kijinga.

Jifunze leo kuwa kuna umuhimu wa kujifunza vitu kotoka kwa binadamu mwenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaaa,
Ni rahis ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajir kuingia ufalme wa mbingu.

Njia zao nyingi huwa sio halali, wanaumiza watu kupata utajir.

Ila ukitaka maisha standard tu.
Chapa kazi tu mkuu huku ukiwa mwema kwa kutenda haki. Na Mungu atakuongezea maarifa.
"Kumcha bwana ni chanzo cha maarifa"
Kwanini matajiri wengi hawatoi njia sahihi walizopitia mpaka kufanikiwa kwao?? Ilihali ni hao hao wanaotushawish kila siku tuyatafute mafanikio??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom