Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,272
Kuna wanandoa waliokaa karibu miaka minne bila kupata mtoto iliyopelekea kugombana na kuachana lakini baada ya kila mtu kushika njia yake,yule dada alifanikiwa kupata ujauzito/mtoto na yule kaka alioa tena na kufaniaakaiwa kupata mtoto. SHIDA ILIKUWA NI NINI HASA? Watu wanasema eti damu zao hazikuendana kuna ukweli wowote hapo?