Hao wana ndo waambie wanitafute mimi nitawapa Dawa yangu na watazaa nitawapa kwa gharama sio bure wakiweza kunitafuta bonyeza hapa.MawasilianoKuna wanandoa waliokaa karibu miaka minne bila kupata mtoto iliyopelekea kugombana na kuachana lakini baada ya kila mtu kushika njia yake,yule dada alifanikiwa kupata ujauzito/mtoto na yule kaka alioa tena na kufaniaakaiwa kupata mtoto. SHIDA ILIKUWA NI NINI HASA? Watu wanasema eti damu zao hazikuendana kuna ukweli wowote hapo?