OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa ufupi sana
Nimesoma mikutano itaanza hivi karibuni.
Katika mikutano yenu mtaeleza ajenda mbalimbali ikiwemo katiba mpya na ugumu wa maisha. Hayo yote tunayajua. CCM wanajua vyote hivyo ila wamekaza mashavu. Kwa hiyo kusema tu haitoshi inatakiwa twende extra miles.
Hamasisheni maandamano tuitie adabu serikali hii iliyoshindwa. Kama ni mchele 3,500 kila mtu anajua. Sasa tufanyaje nadhani ni kuandamana na kuuwasha moto, tuimbe nyimbo za ukombozi. Kama tukikubaliana kumtoa mtu madarakani basi aondoke hata kesho.
Na nyinyi watanzania mkiamshwa muamke. Tukiamka hawa hawatawezi kutuzima. Sio kulialia bila kuchukua hatua mpaka tunadharaulika.
Kwa ufupi ni hayo tu.