OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
99.9999999999999999999999999999999999999999% ya watanzania tu waoga! hata mimi na wewe na yule, tu waoga wa kufa!Kwa ufupi sana
Nimesoma mikutano itaanza hivi karibuni.
Katika mikutano yenu mtaeleza ajenda mbalimbali ikiwemo katiba mpya na ugumu wa maisha. Hayo yote tunayajua. CCM wanajua vyote hivyo ila wamekaza mashavu. Kwa hiyo kusema tu haitoshi inatakiwa twende extra miles.
Hamasisheni maandamano tuitie adabu serikali hii iliyoshindwa. Kama ni mchele 3,500 kila mtu anajua. Sasa tufanyaje nadhani ni kuandamana na kuuwasha moto, tuibe nyimbo za ukombozi. Kama tukikubaliana kumtoa mtu madarakani basi aondoke hata kesho.
Na nyinyi watanzania mkiamshwa muamke. Tukiamka hawa hawatawezi kutuzima. Sio kulialia bila kuchukua hatua mpaka tunadharaulika.
Kwa ufupi ni hayo tu.
Ndo ukweli99.9999999999999999999999999999999999999999% ya watanzania tu waoga! hata mimi na wewe na yule, tu waoga wa kufa!
Kwa hiyo kuandamana ni kinyume na katiba au kutumia uhuru vibaya?! Ona huyuMsimchokonoe Bi, mkubwa.
Lasivyo akibadilisha mtazamo wake. Mnaweza kufikia pa Baya kabisa na asiwepo wa kusaidia.
Nafikiri huu ni Muda wa vyama pinzani Kukaa na Kuangalia Upya Kuimarisha Taasisi Zao. Huku wakitumia uhuru wa kidemokrasia na Katiba kuunganisha wananchi na Kuirudisha Imani Ile iliyopotea.
#Mungu ibariki Tanzania
Ndio maana nasema hii Nchi imejaa watu wajinga sana! Na wengi wao wamejificha katika Vyama vya Upinzani kwa kisingizio cha kuikataa CCM!View attachment 2488746
Kwa ufupi sana
Nimesoma mikutano itaanza hivi karibuni.
Katika mikutano yenu mtaeleza ajenda mbalimbali ikiwemo katiba mpya na ugumu wa maisha. Hayo yote tunayajua. CCM wanajua vyote hivyo ila wamekaza mashavu. Kwa hiyo kusema tu haitoshi inatakiwa twende extra miles.
Hamasisheni maandamano tuitie adabu serikali hii iliyoshindwa. Kama ni mchele 3,500 kila mtu anajua. Sasa tufanyaje nadhani ni kuandamana na kuuwasha moto, tuibe nyimbo za ukombozi. Kama tukikubaliana kumtoa mtu madarakani basi aondoke hata kesho.
Na nyinyi watanzania mkiamshwa muamke. Tukiamka hawa hawatawezi kutuzima. Sio kulialia bila kuchukua hatua mpaka tunadharaulika.
Kwa ufupi ni hayo tu.
Chama tawala kimejaa watu wa hovyo sana, ona ulichoandika...hovyo kabisa!!Ndio maana nasema hii Nchi imejaa watu wajinga sana! Na wengi wao wamejificha katika Vyama vya Upinzani kwa kisingizio cha kuikataa CCM!
Sasa swali langu la msingi kwa huyu " Mbuzi" mleta mada,Je bei ya mchele sokoni hushushwa kwa maandamano?
Je, kuna maghala CCM wameficha mchele hawataki kutoa bure kwa Wananchi?
Viongozi wa upinzani wekezeni ktk kuelimisha hawa " mbuzi" wenu!
Hali ya ugumu wa maisha haitaki kuelezewa Bali tunataka mikakati ya utatuzi.
Uzalishaji unatakiwa uongezwe maana walaji wasiozalisha wameongezeka ktk Taifa hili.
Kama huyu mleta mada utakuta kutwa limelakaa kubet na kushabikia mpira wa Simba na Yanga, halizalishi chochote zaidi ushuzi halafu linataka maandamano ya kushusha bei ya mchele sokoni!
Mimi kama mjasiliamali wa kuprinti tisheti nimeanza kupokea order za kuprint tisheti zenye picha ya hayati Magufuli zitazovaliwa siku ya mkutano mkubwa wa Chadema pale jijini Mwanza.View attachment 2488746
Kwa ufupi sana
Nimesoma mikutano itaanza hivi karibuni.
Katika mikutano yenu mtaeleza ajenda mbalimbali ikiwemo katiba mpya na ugumu wa maisha. Hayo yote tunayajua. CCM wanajua vyote hivyo ila wamekaza mashavu. Kwa hiyo kusema tu haitoshi inatakiwa twende extra miles.
Hamasisheni maandamano tuitie adabu serikali hii iliyoshindwa. Kama ni mchele 3,500 kila mtu anajua. Sasa tufanyaje nadhani ni kuandamana na kuuwasha moto, tuimbe nyimbo za ukombozi. Kama tukikubaliana kumtoa mtu madarakani basi aondoke hata kesho.
Na nyinyi watanzania mkiamshwa muamke. Tukiamka hawa hawatawezi kutuzima. Sio kulialia bila kuchukua hatua mpaka tunadharaulika.
Kwa ufupi ni hayo tu.
Serikali inatakiwa ku regulate bei ya bidhaa sokoni, kuacha bidhaa zipande bei kiholela huku hali ya wananchi wako ikizidi kuwa mbaya kiuchumi, ni dalili ya kwanza ya serikali iliyoshindwa kazi, tena hapa bila kuleta habari ya vita ya Urusi vs Ukraine, au biashara ya Soko Huria.Ndio maana nasema hii Nchi imejaa watu wajinga sana! Na wengi wao wamejificha katika Vyama vya Upinzani kwa kisingizio cha kuikataa CCM!