Acheni Mungu aitwe Mungu. Kwa hakika Mola akimuinua mja wake, haijali hata wenye pembe wafanye nini.
Yale mambo yetu kutokea uwanja wa Bulyaga yanazidi kushika kasi:
"Ugumu wa maisha na kuongezeka mno kwa mfumuko wa bei. Haya yakiakisiwa vilivyo na bei za vyakula sokoni."
Nani alikuwa na ubavu wa kuzipinga hoja hIzi? Chawa gani haya hayamhusu? Kimya chao ndiyo uliokuwa uthibitisho wenyewe kuwa walikuwa wameguswa!
Lissu kawaongelea wote wakiwamo wao na sasa ngoma ndiyo hiyo sasa inapwita Bungeni.
Kwa muda, yetu yatakuwa macho. Ngoja tuone kwani mwenye lake jambo sasa tunamjua.
Kumbe daktari wa uchumi Mwigulu yeye ni karani tu.
Mwananchi