Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Hakika sasa ndio nimejua kwanini Wajinga wengi wapo CCM. Hali ya Ugumu wa Maisha ya wananchi waathirika wakubwa ni Wanachama wa Chadema na ndio maana viongozi wao wanataka Mabadiliko makubwa ya KATIBA MPYA na TUME huru ya Uchaguzi yafanyike.
Mabadiliko haya yatabadili mambo mengi ya Kiuchumi kisiasa kijamii n.k na kuwapunguzoa makali ya maisha wananchi. Kwa Upande wa CCM mambo ni tofauti kwani Katiba hii inawanufaisha sana wao na wananchi wao kwani hii hali ngumu ya Kimaisha haiwakugusi kabisa kwani Wanachama wa ccm ambao ni Watumishi mishahara imepanda.
Bidhaa madukani wanazinunua kwa Fedha kidogo kodi mbalimbali za Serikali hawalipi Ajira kwa Watoto wao zipo Madawa wananunua kwa bei nafuu bidhaa Madukani zipo chini kama Sukari Mchele na Mafuta ya kula Petrol na Dizeni bei Poa ili mradi kila kitu wanakipata kwa unafuu mkubwa tofauti na Wanachama wa Upinzani.
Kutokana na hali hiyo tuwaombe Viongozi wa Upinzani hasa CHADEMA wazidishe nguvu kuipigania katiba mpya na tume huru ya uchunguzi kwani CCM wanachama wake wanaishi maisha mazuri sana.