Ugumu wa maisha unanifanya niote mindoto ya ajabu sana

Bob12

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2017
Posts
11,422
Reaction score
58,790
Habari wakuu

Yani hizi ndo ninazoota kipindi hiki cha Mr Solex ni za ajabu,mara naota nakimbizwa na nyoka anakonda,mara naota naanguka kwenye shimo kubwa lenye giza,mara naota Tanzania watu wote wamekufa na njaa.

Jamani muheshimiwa rais punguza makali nisije nikaota...[emoji83] [emoji83] [emoji83]
 
ikifika usiku chukua series moja matata anza kuiangalia ili kuepuka kulala kunakopelekea kuota hizo ndoto za ajabu ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…