Ugumu wa maisha

Ugumu wa maisha

BenElohimy

Senior Member
Joined
Sep 21, 2021
Posts
181
Reaction score
222
Usikubali ugumu wa maisha ukufanye utumie mwili wako vibaya.
Usikubali kuutumia mwili wako vibaya kwa ajili ya matangazo ya kibiashara.
Leo wewe ni mdada hauna famiia siku zaja utakuwa na familia waza mwanao sasa ndo anaangalia maungo yako.
Maumivu uliyonayo usiyaruhusu yaangamize kesho yako, yatumie kama daraja ili kwenda kwenye kesho yako.
#BenElohimy#
 
Back
Top Bottom