Uhaba wa madarasa mbalali, watoto wasomea mtini

Uhaba wa madarasa mbalali, watoto wasomea mtini

2mbaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
316
Reaction score
67
Uhaba wa madarasa mbalali, wanafunzi wakaa madarasa mawili chumba kimoja, aka mzungu wa nne. Wengine wasomea chini ya mwembe. Enzi za mwalimu zinarudi! This is negative development! Shame, miaka 50 ya uhuru. Tafakari,chukua hatua!!
 
Mkuu unaweza kueleza zaidi ni sehemu gani ya wilaya na utuwekee picha tafadhari?
 
Back
Top Bottom