2mbaku JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 316 Reaction score 67 Mar 4, 2011 #1 Uhaba wa madarasa mbalali, wanafunzi wakaa madarasa mawili chumba kimoja, aka mzungu wa nne. Wengine wasomea chini ya mwembe. Enzi za mwalimu zinarudi! This is negative development! Shame, miaka 50 ya uhuru. Tafakari,chukua hatua!!
Uhaba wa madarasa mbalali, wanafunzi wakaa madarasa mawili chumba kimoja, aka mzungu wa nne. Wengine wasomea chini ya mwembe. Enzi za mwalimu zinarudi! This is negative development! Shame, miaka 50 ya uhuru. Tafakari,chukua hatua!!
J junior2008 JF-Expert Member Joined Apr 27, 2009 Posts 528 Reaction score 42 Mar 4, 2011 #2 Mkuu unaweza kueleza zaidi ni sehemu gani ya wilaya na utuwekee picha tafadhari?