Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Source BBC14, July 2021
Uingereza inakabiliwa na uhaba wa madereva wa malori, upungufu uliopo ambao unahitaji kuzibwa haraka ni maderava 100,000.
Athari zilizotokea mpaka sasa ni Nandos kufunga baadhi ya migahawa yake wa kukosa malighafi.
Mc Donald kuacha kuuza milk shake kwa kukosa supply.
Iceland supermarket wanalazimika ku cancel mapokezi 30-40 kwa siku.
Break Points pia kando ya Barabara kubwa zinakabiliwa na uhaba wa petrol na diesel.
Riport ya bank Kuu paia inaonyesha maduka yanayouza furniture yameathirika sana kwa kukosa mali za kuwapelekea wateja hata za kuweka dukani.
Tatizo hili limesababishwa na Covid pandemic pia Uingereza kujitoa katika Jumuia ya Ulaya.