Uhaba wa mafuta unaisogelea Dar, bei ya Petroli kwa Kibaha yapanda kutoka Tsh. 2,700 hadi 3,700 ghafla

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Changamoto ya uhaba wa Petroli sio jambo geni tena kwenye masikio ya watu hapa Bongo, lakini binafsi nilikuwa sijaona changamoto hiyo kwa Dar na maeneo ya karibu na Mji huo.

Kila siku tumekuwa tunasikia mikoani tu kuwa uhaba wa mafuta na mara bei inapanda, inadaiwa kuna mgomo wa kimyakimya ambao unafanywa na Wafanyabiashara wakitaka bei ya mafuta ipande.

Serikali kupitia EWURA na Waziri Makamba naona wanakanusha kila siku kuwa hakuna changamoto hiyo lakini naona kabisa wanaanza kuzidiwa nguvu katika hiki kinachoendelea.

Usiku wa kuamkia leo nikiwa mitaa ya Kibaha Maili Moja kabla ya saa sita usiku bei ya mafuta ya Petroli Lita Moja ilikuwa shilingi 2,700, lakini ghafla ilivyofika saa sita usiku vituo vyote vikapandisha bei na Lita Moja kuwa shilingi 3,700.

Kinachosikitisha ni kuwa EWURA hawajatangaza mabadiliko hayo lakini tayari bei imepanda na kila siku tunamsikia Makamba na EWURA yake wakiishia kupiga mikwara.

Vituo vya kukuza mafuta vya Njuweni hadi Picha ya Ndege vyote bei imepanda ghafla, nimeshuhudia watu wengi walilalamika tu huku wakiwa hawana namna nyingine ya kufanya.
 
Hivi Serikali inaposema mafuta yapo harafu bei zinapanda Kwa kiasi hichi tuwaelewaje?
 
EWURA wametangaza bei mpya ni 3100 Tshs, hiyo 3700 wamejipangia wao? Hii nchi imejaa upigaji kila sehemu.
Kwamba Kuna Kituo kinauza hii bei ya 3700 na watu wanaonunua confortably kabisa? Hata Mkoani kwangu sinunui hiyo bei
 
Useless minister, useless EWURA. Huwa nikiziona zile asilimia za makato ya EWURA kwenye risiti ya maji, umeme na mafuta .... hua nasikitika sana. Wanafanya kazi gani hawa mbuzi kiasi kwamba wamejichomeka kwenye kila bili wanakusanya mpunga??

Yaani watu wamekalisha makalio yao ofisini huku wametega mirija kwenye kila transaction ya maji, umeme, gesi, mafuta n.k. Alafu hata uwezo wa kudhibiti wafanyabishara wa mafuta hawana. Pumbavu kabisa.
 
Changamoto ya uhaba wa Petroli sio jambo geni tena kwenye masikio ya watu hapa Bongo, lakini binafsi nilikuwa sijaona changamoto hiyo kwa Dar na maeneo ya karibu na Mji huo.

Kila siku tumekuwa tunasikia mikoani tu kuwa uhaba wa mafuta na mara bei inapanda, inadaiwa kuna mgomo wa kimyakimya ambao unafanywa na Wafanyabiashara wakitaka bei ya mafuta ipande.

Serikali kupitia EWURA na Waziri Makamba naona wanakanusha kila siku kuwa hakuna changamoto hiyo lakini naona kabisa wanaanza kuzidiwa nguvu katika hiki kinachoendelea.

Usiku wa kuamkia leo nikiwa mitaa ya Kibaha Maili Moja kabla ya saa sita usiku bei ya mafuta ya Petroli Lita Moja ilikuwa shilingi 2,700, lakini ghafla ilivyofika saa sita usiku vituo vyote vikapandisha bei na Lita Moja kuwa shilingi 3,700.

Kinachosikitisha ni kuwa EWURA hawajatangaza mabadiliko hayo lakini tayari bei imepanda na kila siku tunamsikia Makamba na EWURA yake wakiishia kupiga mikwara.

Vituo vya kukuza mafuta vya Njuweni hadi Picha ya Ndege vyote bei imepanda ghafla, nimeshuhudia watu wengi walilalamika tu huku wakiwa hawana namna nyingine ya kufanya.
IMG-20230802-WA0001.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ifike 5000 poa tu

Nchi imejaa mazuzu watajaza tu pesa

Wanayo

Ova
 
Useless minister, useless EWURA. Huwa nikiziona zile asilimia za makato ya EWURA kwenye risiti ya maji, umeme na mafuta .... hua nasikitika sana. Wanafanya kazi gani hawa mbuzi kiasi kwamba wamejichomeka kwenye kila bili wanakusanya mpunga??

Yaani watu wamekalisha makalio yao ofisini huku wametega mirija kwenye kila transaction ya maji, umeme, gesi, mafuta n.k. Alafu hata uwezo wa kudhibiti wafanyabishara wa mafuta hawana. Pumbavu kabisa.
Ona hili nalo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Changamoto ya uhaba wa Petroli sio jambo geni tena kwenye masikio ya watu hapa Bongo, lakini binafsi nilikuwa sijaona changamoto hiyo kwa Dar na maeneo ya karibu na Mji huo.

Kila siku tumekuwa tunasikia mikoani tu kuwa uhaba wa mafuta na mara bei inapanda, inadaiwa kuna mgomo wa kimyakimya ambao unafanywa na Wafanyabiashara wakitaka bei ya mafuta ipande.

Serikali kupitia EWURA na Waziri Makamba naona wanakanusha kila siku kuwa hakuna changamoto hiyo lakini naona kabisa wanaanza kuzidiwa nguvu katika hiki kinachoendelea.

Usiku wa kuamkia leo nikiwa mitaa ya Kibaha Maili Moja kabla ya saa sita usiku bei ya mafuta ya Petroli Lita Moja ilikuwa shilingi 2,700, lakini ghafla ilivyofika saa sita usiku vituo vyote vikapandisha bei na Lita Moja kuwa shilingi 3,700.

Kinachosikitisha ni kuwa EWURA hawajatangaza mabadiliko hayo lakini tayari bei imepanda na kila siku tunamsikia Makamba na EWURA yake wakiishia kupiga mikwara.

Vituo vya kukuza mafuta vya Njuweni hadi Picha ya Ndege vyote bei imepanda ghafla, nimeshuhudia watu wengi walilalamika tu huku wakiwa hawana namna nyingine ya kufanya.
CCM wanashindwa wapi?
 
Back
Top Bottom