Uhaba wa Mafuta unazidi kutisha

Uhaba wa Mafuta unazidi kutisha

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Sio Siri Tena, Hali ni tete huku Mkoani. Natokea Tanga - Mombo, hakuna Mafuta ya petrol, nasikia Hadi Same!

Wenye nchi wanasema Mafuta yapo, anyway huenda Mafuta yapo hatutaki tu kujaza! Ila athari zake Kwa uchumi ni kubwa.

Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe wananchi kuwa mafuta yapo.
 
Kwenye Economics (Uchumi) kuna kitu kinaitwa Artificial scarcity au artificial shortage (kuzuia upatikanaji wa bidhaa isivyo halali) iko hivi:

wazalishaji wa bidhaa au supplier wa bidhaa husika wana restrict (zuia) upatikanaji wa bidhaa hiyo kwa muda kwa makusudi, lengo kuu likiwa ni kupaisha bei ya bidhaa hiyo (rejea kwenye kanuni ya demand and supply) upatikanaji wa bidhaa unapopungua ndivyo inavyozidi kuhitajika zaidi hivyo kupelekea wahitaji kuwa na utayari wa kuinunua kwa bei ya juu tofauti na ilivyokuwa awali.

Lakini hii pia inategemea na nature ya bidhaa ama aina biashara ya bidhaa husika, kwa mfano; kwa case ya bongo TZ wafanyabiashara wa mafuta wanafahamiana vizuri tu, wanaweza kuji organize wakakaa, wakajadili na wakakubaliana namna ya ku create artificial shortage (uzuiaji wa bidhaa usio halali) kinachobakia ni kutoa maelekezo kwa ma manager (wasimamizi) wao cha kufanya ili kufanikisha lengo. Ukisikia vituo vya mafuta Geita vimefungwa havina mafuta ndiyo habari yake hii.
 
Mama yetu anazidi kuzeeka Kwa mawazo maana kilasiku ni sinema mpya inaibuka
Yapo mengi sana sana Kila mahali
Nchi hii inahujumiwa sanaa na watu wasio wazelendo ngoja tuendelee but one day watu watachoka ndo wataona sura Halisi ya Mtz
20230801_155642.jpg
 
Sio Siri Tena, Hali ni tete huku Mkoani. Natokea Tanga - Mombo, hakuna Mafuta ya petrol, nasikia Hadi Same!

Wenye nchi wanasema Mafuta yapo, anyway huenda Mafuta yapo hatutaki tu kujaza! Ila athari zake Kwa uchumi ni kubwa.

Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe wananchi kuwa mafuta yapo.
Si mnasema Waarabu wanawaibia? Kojoleeni kwenye matanki ya gari sasa muendeshe magari.

"baniani mbaya kiatu chake dawa"?

Mwende mkabadili mifumo ya magari yenu itumie Taifa Gas ya Rostam Aziz.
 
Si mnasema Waarabu wanawaibia? Kojoleeni kwenye matanki ya gari sasa muendeshe magari.

"baniani mbaya kiatu chake dawa"?

Mwende mkabadili mifumo ya magari yenu itumie Taifa Gas ya Rostam Aziz.
Jitahidi kuficha upumbavu wako.
 
Sio Siri Tena, Hali ni tete huku Mkoani. Natokea Tanga - Mombo, hakuna Mafuta ya petrol, nasikia Hadi Same!

Wenye nchi wanasema Mafuta yapo, anyway huenda Mafuta yapo hatutaki tu kujaza! Ila athari zake Kwa uchumi ni kubwa.

Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe wananchi kuwa mafuta yapo.
C mnajidai mnajua san mnapinga DP world mtajua hamjui!! "Hili nalo mkaliangalie"
 
Back
Top Bottom