Uhaba wa Mafuta ya Petrol na Diesel Dar es Salaam Mchana huu Oktoba 16

Uhaba wa Mafuta ya Petrol na Diesel Dar es Salaam Mchana huu Oktoba 16

Matukio yote ovu katika nchi yetu huanza kwa namna hii hii

Uatasitukia aliyeleta habari hizi za ukosefu wa mafuta katekwa kwa sababu za eti mtu ameleta taharuki na kesho bado mambo yakawa kama alivyoripoti mleta mada

CCM ni janga kuu nchini
 
Mbona naona bituo vingi wanauza ? Au baadhi sehemu ?
 
Waagiza mafuta, mbolea na Sukari nchini wananchi yao ..kwa ufupi ni UNTOUCHABLE..jaribu kuingia huko uone
 
Mkuu nilikuuliza jana umejibu leo. Kumbe tatizo bado lipo asubuhi hii?
Ndiyo mkuu, jana nilipata mafuta lakini Tandale kule.
Ilikuwa balaa sana
 
Chini ya SIRIkali ya Mama wala sishangai, chochote kinawezekana...au nasema urongo Lucas Mwashamba??.
 
Back
Top Bottom