seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,655
Watu wa Dar es Salaam, Mambo yamekuwa sio mambo, ni harufu kali na uchafuzi wa mazingira unatokana na uhaba wa maji
Familia zenye watu wengi ni shida na balaa, Watu wana nawa uso tu, nguo hazifuliwi zinanuka jasho
Je, CCM ni ile ile au hii nyingine
Na joto kali sio Dar es Salaam tu bali Tanzania nzima
Mvua zisiponyesha Kifuatacho ni njaa njaa kama Madagascar wanaokula udongo kwa sasa
Mlioshikilia Mabwawa na umeme waoneeni huruma wananchi, Maji yatasababisha watu kukimbiana