Uhaba wa Maji Dar es Salaam: Harufu zimeanza kuwa kali maofisini na Majumbani

Unaishi Dar au Chato?

Lini maji hayakuwai kukatika hovyo Dar?
 
Jambo pekee ambalo marehemu Magufuli alikuwa mbele ya wengine, akitaka jambo lifanyike, kwa kiasi kikubwa litafanyika bila kujali kuna hela au hakuna hela, taratibu zimefuatwa au hazikufuatwa. Mungu angeendelea kumjalia uhai, eneo ambalo alistahili kulifanyia kazi kubwa, ni kutambua kipi kilicho sahihi kwa kuangalia faida na hasara za muda mfupi na mrefu.

Mahali alipofeli kabisa ni kuvumilia kukosolewa. Na hapa ndiyo palizaa mengi - watu kupotezwa, kuuawa, kushambuliwa kwa risasi, kubambikia watu kesi, n.k. Sasa unapogusa uhai wa watu na kujitwalia mamlaka ya nani aishi na nani asisishi, nani awe huru na nani awe mahabusu, haya maovu yanafunika yale mazuri kiasi kwamba au yasionekane kabisa au yaonekane kwa taabu.
 
Ni kweli lakini tutamkumbuka kwa mazuri na ili tumsahau waliopo wangefanya mazuri zaidi yake lakini hali ni tofauti matokeo yake mabaya yake hayakumbukwi watu wanalinganisha mfano mfumuko wa bei, maji, umeme nk
 
Ni kweli lakini tutamkumbuka kwa mazuri na ili tumsahau waliopo wangefanya mazuri zaidi yake lakini hali ni tofauti matokeo yake mabaya yake hayakumbukwi watu wanalinganisha mfano mfumuko wa bei, maji, umeme nk
Ubongo wa binadamu umetengenezwa kukumbuka mabaya zaidi kuliko mazuri!

The bad experiences will always stay on your brain to remind you of not repeating the same mistakes! Sasa ikiwa mambo ni mabaya kuliko hata awamu iliyopita guess what will happen? Ni hali ya kibinadamu tu.

Na ndio sababu ya mbona hatukuona umeme na maji vikikatika, mbona hatukuona kitu kile kikitokea tofauti na sasa? Mbona wamachinga wanafurushwa mbona hatukuwa na tozo?
 
Lakini bado mazuri yake mengi yanaendelea kuonekana
 
Aseee! Hii kali sana ya kufungia mwaka!
 
Tulia lazima watengeneze janga ile baadaye tuambiwe Hangaya kaingilia Kati na shida imeisha
 
Mtakoma na Jiji lenu uchwara hilo.
 
Dar ipi unasema hapakuwahi kuwa na shida ya maji? Kwani maji ya Wami/Ruvu kuna bwawa la kufungulia?

Tatizo la maji vigogo wa DAWASA wanatakiwa kuwajibika.
 
Dar ipi unasema hapakuwahi kuwa na shida ya maji? Kwani maji ya Wami/Ruvu kuna bwawa la kufungulia?

Tatizo la maji vigogo wa DAWASA wanatakiwa kuwajibika.
 
Mama anaupiga mwingi
Anaupuga mwingi kwa ziara za ufunguzi,kukata utepe na kuhutubia kila uchao huku Dar es Salam vitoroli vya kuuza maji shs elfu moja kwa dumu vimeanza kutamalaki kama tupo Bahi vile.
 
Hizi sifa za kijinga bana, magu alikataa katiba ili kuwe na mifumo ya uwajibikaji, akijigeuza yeye ndio mifumo, huku akizuia vyombo vya habari kuwa huru kutangaza mapungufu ya serikali yake. Kama alikuwa kiongozi mzuri angetengeneza mifumo, na sio kujifanya mkali huku ukiwa na mifumo dhaifu. Hizi sifa za kijinga wapelekeeni wenye ufahamu duni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…