Uhaba wa maji Dar es Salaam kuwa historia, ujenzi wa Bwawa la Kidunda kuanza

Uhaba wa maji Dar es Salaam kuwa historia, ujenzi wa Bwawa la Kidunda kuanza

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Baada ya mipango na ahadi nyingi za kumaliza changamoto ya Uhaba wa maji jijini Dar na Pwani toka Uhuru kushindikana sasa mh.Rais SSH ameamua kufanya kwa vitendo.

Serikali ya mama imeazimia kufuta kabisa shida ya Maji jijini kwa kuanza ujenzi wa Bwawa kubwa litakalohifadhi maji ya kutosha kwa wakazi wa Jiji.

Ikumbukwe kwenye sekta ya maji, Rais Samia yuko serious na kumtua mama ndio kwa vitendo.

Miongoni mwa miradi mikubwa ni pamoja na Bwawa la kidunda,mradi wa maji Bagamoyo na mradi wa maji wa Mji mkuu Dodoma nje na miradi chungu mzima ya Kati inayiendelea maeneo mbalimbali ya Nchi.

Hongera Sana Mama tunaona matokeo, ila sasa usisahau kujipatiapo chochote maana Tzn hii watu hawana Shukrani.

Kazi inaendelea 👇

Bwawa la Maji Kidunda.jpg


BWAWA.JPG
 
Magufuli alitufumbua macho sana swala la maji.

Wasipochangamka Legacy itaendelea kuwapasua kichwa.
 
Kwamba tatizo ni water Source ? Kukosekana Bwawa ?

Mbona kuna Source Ziwa Victoria Mwanza na maji bado ni Tatizo ?

Tatizo hii nchi Siasa nyingi kuliko vitendo
 
Back
Top Bottom