A
Anonymous
Guest
Huku Tabata kisukulu (Luhanga mpaka maeneo ya kwa mkuwa), tangu wiki ya kwanza ya January 2024 mpaka leo February 26 hatuna maji.
Serikali za mitaa wanasema wamepeleka taarifa Dawasa lakini hakuna majibu.
Dawasa tukiwapigia simu wanasema huku hakuna shida yeyote maji yanatakiwa kutoka.
Sasa, hatuelewi kama tumesitishiwa huduma ya maji watuambie. Tunateseka kwa kweli, reserve tank tumemaliza, maji tunayovuna mvua pia yanaisha.
Tunaomba serikali itusaidie.