uhaba wa petrol Dar!

uhaba wa petrol Dar!

kipira

Senior Member
Joined
Aug 5, 2009
Posts
142
Reaction score
56
Wadau kila petrol station ninayopita petrol hakuna, hii imekaaje?

Mkuu wa kaya hata hakemei? kweli anaharibu nchi hivihivi, akemee basi nchi iwe na kanidhamu basi! Dah!

hilo sahau,endelea na kazi zako,,,,,unasubiri kemeo????angekemea wakat gari lake lilipochakachuliwa moshi

Hahahahahaaa! Umenifurahisha sana, kumbe unamjua!? Basi ngoja niendelee na ratiba zangu, nyama choma wapi nanenane hii?

Jamaa anajiandaa kukwea pipa kwenda kwa Obama; nyie mnalia na giza na uhaba wa petrol/diesel!!

mgomo huo ulishatabiriwa sasa ni utekelezaji

Kama mkuu wa Nchi angekuwa safi, angeweza kwenda kule uarabuni kuongea na uongozi wa wazalisha mafuta wasituumize kwenye bei, ningemuona ni Rais wa maana sana, sijui kama hilo alilifanya!

Bei inayotoka huku Uarabuni siyo kubwa kiasi hicho. Tatizo ni michango mnayochangishwa kwa jina la kodi kwa manufaa ya mafisadi

Aaah kumbe ni hivyo? dah haki ya nani....!

Mkuu wa kaya hata hakemei? kweli anaharibu nchi hivihivi, akemee basi nchi iwe na kanidhamu basi! Dah!

Huyumkuu wa kaya ni kama baba wa kufikia au Baba wa kambo usitegemee kitu toka kwake, kaombe msaada kwa ujombani kule watakusikiliza

Mkuu wa kaya hata hakemei? kweli anaharibu nchi hivihivi, akemee basi nchi iwe na kanidhamu basi! Dah!

Sema polepole amefunga utamuharibia swaum si unajua mtu akifunga hana nguvu ya kukemea kitu.

Back
Top Bottom