Uhaba wa sukari mkoani Manyara unasababishwa na nini?

Uhaba wa sukari mkoani Manyara unasababishwa na nini?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Kwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na uhaba wa Sukari katika Mkoa wa Manyara. Hali hii imesababaisha bei ya Sukari kupanda Kwa Bei, ambapo kilo moja inauzwa Kati ya Sh.3500 hadi 4500.00.

Hivi hili ni tatizo la nchi mzima au ni Mkoa wa Manyara pekee!?
 
Bado watu mnakula ugali, wali, ngano na simple carbs nyengine?
Mtu yupo manyara unamwambia avoid starchs kweli? Unadhani inawezekana?
Usiwe kama sera za watu flani ambaso sio relevant na mazngira ya watu wake
 
Du naon.wataalam wa lishe mmeshaingia ...kuepuka Sukari ni changamoto,ukila ugali ,wali, viazi unaikuta !
Hapa tuongelee beinya sukari ,sio masuala ya lishe.
 
Kwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na uhaba wa Sukari katika Mkoa wa Manyara. Hali hii imesababaisha bei ya Sukari kupanda Kwa Bei, ambapo kilo moja inauzwa Kati ya Sh.3500 hadi 4500.00.

Hivi hili ni tatizo la nchi mzima au ni Mkoa wa Manyara pekee!?
Sio tatizo la nchi bali kuna sababu mbali mbali za kiuchumi 1. Location ya viwanda vya uzalishaji 2. Usambazaji mara nyingi wauzaji wanafanya kusudi ili ipande halafu wauze 3. Mahitaji yamekua makubwa ,4. Il.apia kuna sababu za ndani ya kiwanda mfano gharama. Za uzalishaji na ununuzi wa malighafi
 
Ndizi, magimbi, mihogo, viazi vitamu, maboga, karanga, maharage, choroko, kunde, mbaazi, nyama, mayai, mboga mboga za majani.
Hakuna hivi vitu manyara kweli?
Chakula ni Bei rahisi Sana ukila vitu vya maana na vyenye tija.
Binafsi bajeti yangu ya Kula ni laki moja kwa mwezi na wiki mbili na nipo Dar Es Salaam.
Kiongozi hili ni jukwaa l Uchumi na Biashara sio la lishe! Nimeuliza kuhusu uhaba wa Sukari Mkoani Manyara unasababishwa na nini,na je ni tatizo la Nchi mzima au! Hayo Magimbi ni chakula kizuri tu!Kumbuka Upungufu wa Sukari unaweza kileta mtikisiki ktk nchi ...achana na chai ,Sukari ni product muhimu sana kwenye viwanda!
 
Ni kweli kabisa hii wiki ya tatu sukari imekuwa tatizo sana manyara na singida yaani mfuko wa kg 50 tunapata kwa sh 150000 tena unapata kwa mbinde sana
 
Back
Top Bottom