Una maana asile ugali?Epuka sukari haina maana inakuja na madhara tele.
Tunaza pesa yako ufanye mambo ya msingi.
Bado watu mnakula ugali, wali, ngano na simple carbs nyengine?Una maana aside ugali?
Au unajua sukari ni Ile ya chai tu ndo ina madhara
Wanga ni mbaya,epuka ukiweza.Una maana aside ugali?
Au unajua sukari ni Ile ya chai tu ndo ina madhara
Mtu yupo manyara unamwambia avoid starchs kweli? Unadhani inawezekana?Bado watu mnakula ugali, wali, ngano na simple carbs nyengine?
Can you explain kwa namna yoyote mtu alie Manyara anaweza kula carbohydratesWanga ni mbaya,epuka ukiweza.
Bado watu mnakula ugali, wali, ngano na simple carbs nyengine?
Mahitaji, mlo kamili unatofautiana na kipato ndio maana huwezi kuwazuia watu kula chakula flani coz hujui kiwango cha kipato choBado watu mnakula ugali, wali, ngano na simple carbs nyengine?
Sio tatizo la nchi bali kuna sababu mbali mbali za kiuchumi 1. Location ya viwanda vya uzalishaji 2. Usambazaji mara nyingi wauzaji wanafanya kusudi ili ipande halafu wauze 3. Mahitaji yamekua makubwa ,4. Il.apia kuna sababu za ndani ya kiwanda mfano gharama. Za uzalishaji na ununuzi wa malighafiKwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na uhaba wa Sukari katika Mkoa wa Manyara. Hali hii imesababaisha bei ya Sukari kupanda Kwa Bei, ambapo kilo moja inauzwa Kati ya Sh.3500 hadi 4500.00.
Hivi hili ni tatizo la nchi mzima au ni Mkoa wa Manyara pekee!?
Nani kakuambia Sukari ni chai tu!?kwani lazima kunywa chai ?
Bado watu mnakula ugali, wali, ngano na simple carbs nyengine?
Kiongozi hili ni jukwaa l Uchumi na Biashara sio la lishe! Nimeuliza kuhusu uhaba wa Sukari Mkoani Manyara unasababishwa na nini,na je ni tatizo la Nchi mzima au! Hayo Magimbi ni chakula kizuri tu!Kumbuka Upungufu wa Sukari unaweza kileta mtikisiki ktk nchi ...achana na chai ,Sukari ni product muhimu sana kwenye viwanda!Ndizi, magimbi, mihogo, viazi vitamu, maboga, karanga, maharage, choroko, kunde, mbaazi, nyama, mayai, mboga mboga za majani.
Hakuna hivi vitu manyara kweli?
Chakula ni Bei rahisi Sana ukila vitu vya maana na vyenye tija.
Binafsi bajeti yangu ya Kula ni laki moja kwa mwezi na wiki mbili na nipo Dar Es Salaam.
najua na kwenye uji au kama kiambaupishi kwenye maandaziNani kakuambia Sukari ni chai tu!?