Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 319
- 711
Za asubuhi wananchi wenzangu,
Leo katika mahangaiko naingia ofisini Kariakoo nakuta hamna sukari, nikaingia mtaa wa pemba kwenye maduka ya jumla nipate hata sukari ya kuanzia wiki aisee nimekuja pata sukari soko la kisutu baada ya kutembea dk 45.
Je, sukari imeenda wapi na hiyo iliyoagizwa haijafika bado.