NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kweli kabisa mkuu na ndiyo maana leo siwezi kuhoji ni kwa Nini Aucho hajaingia kwenye orodha za tuzo wakati hajacheza mechi kumzidi mzamiruLeo nimekuunga mkono.
Kuna kijana nilikuwa namfumdisha suala hili wiki ILIYOPITA.
Nilimwambia Simba inawachezaji wazuri sana lakini ni almost 8 tu.
Wengine wote ni magarasa.
Yanga Ina wachezaji wengi viwango vyao vinafanana except
Diara.
MAYELE.
Hapo Nabi Hana option.
First class player hakai benchiLeo nimekuunga mkono.
Kuna kijana nilikuwa namfumdisha suala hili wiki ILIYOPITA.
Nilimwambia Simba inawachezaji wazuri sana lakini ni almost 8 tu.
Wengine wote ni magarasa.
Yanga Ina wachezaji wengi viwango vyao vinafanana except
Diara.
MAYELE.
Hapo Nabi Hana option.
Mchezaji mzuri hakai benchiMzamiru yasini kaonekana kwenye tunzo ya mchezaji Bora lakini pia kaonekana kwenye tunzo ya kiungo bora.
Hii ni tofauti na Yanga kutokana na kikosi kipana alichonacho na ndiyo maana Khaleed Aucho ama Shaban djuma hawajaonekana kutajwa ama kuwania tuzo yoyote.
Mzamiru Yasin, shomari kapombe na Mohammedi husein wamecheza mechi nyingi mno ni kutokana na kuwa hawana wachezaji mbadala /kuwa tegemezi
Ukija yanga pale namba nane Kuna viungo wengi.
Kwa hiyo Khalid Aucho au Shabani Djuma kutoonekana katika hizo tuzo haimaanishi kuwa wao siyo Bora ni Bora haswaa kuliko hata hao waliochezeshwa mechi nyingi bila mapumnziko.
Unataka kusema muzamiru ni Bora kuliko Khalid Aucho au unaongelea ushabiki kuliko uhalisia.??Andaa tunzo zako uwape wewe unao waona bora,,kusema kwamba wachezaji fulani ni bora haswaa kuliko waliopewa tunzo ni kuwakosoa watoa tunzo labda hawajatenda haki,Cha kufanya sasa andaa tunzo zako binafsi uwape wachezaji wako wewe unaowaona bora basi hakuna mtu atakuhoji..
Ukimtoa shomari na Muhammed huseni pale simba Wana mchezaji gani mzuri??Mchezaji mzuri hakai benchi
Kwa hiyo unataka kusema kanut first class player???First class player hakai benchi
We Mmakonde hawajatoa Tunzo bado..ila wametoa Nominees tu so unaweza kuwa nominated ila usipate chochote so kaa ukijua hivi kwenye hizo nominees wachezaji wa Yanga walio be nominated wana nafasi kubwa ya kutwaa kuliko hilo rundo la wachezaji wa Simba.Andaa tunzo zako uwape wewe unao waona bora,,kusema kwamba wachezaji fulani ni bora haswaa kuliko waliopewa tunzo ni kuwakosoa watoa tunzo labda hawajatenda haki,Cha kufanya sasa andaa tunzo zako binafsi uwape wachezaji wako wewe unaowaona bora basi hakuna mtu atakuhoji..
Sawa mtindiga nmekuelewa wazo lako limefanyiwa kaziWe Mmakonde hawajatoa Tunzo bado..ila wametoa Nominees tu so unaweza kuwa nominated ila usipate chochote so kaa ukijua hivi kwenye hizo nominees wachezaji wa Yanga walio be nominated wana nafasi kubwa ya kutwaa kuliko hilo rundo la wachezaji wa Simba.
Rejea Hizo nominees halaf niambie kama sio wachezaji wawili tu wa simba ambao unaweza sema wana percent zaid ya 70 kushinda category aliyopo.
Wengine wameenda kama wasindikizaji tu hapo.
Mbona hata aucho kaacheza mechi zote na hayupo???sio lazima wote wawepo mtani,mbona kina ndemla,sabilo,kina sure boy hawapo?kwani wale hawajui soka???.Ukimtoa shomari na Muhammed huseni pale simba Wana mchezaji gani mzuri??
Haya huyo kanuti kacheza mechi karibu zote mbona hayupo kwenye category yoyote au wwe unaongelea mchezaji gani mzuri???
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Akili zikikujia unakuwa vizuri mnoKweli kabisa mkuu na ndiyo maana leo siwezi kuhoji ni kwa Nini Aucho hajaingia kwenye orodha za tuzo wakati hajacheza mechi kumzidi mzamiru
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na hili ndio ambalo kubwa zaidi,fikiria bila yale majeruhi leo mayele angekuwa namba mbili akiachwa mbaaaaaali sanaKubalini takwimu zinawabeba watu wa Simba hakuna kichaka hapo
Phiri hajacheza mechi nyingi ila yumo
Na huo ndio uhalisia MZAMIRU YASSIN SELEMBE ni bora zaidi ya KHALID AUCHO hilo halina ubishi,bishanankwa kwa hoja na factUnataka kusema muzamiru ni Bora kuliko Khalid Aucho au unaongelea ushabiki kuliko uhalisia.??
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
NdioKwa hiyo unataka kusema kanut first class player???
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haya njoo utuambie wameangalia kigezo gani mpaka kuona mzamiru ni Bora kuliko Aucho.Mbona hata aucho kaacheza mechi zote na hayupo???sio lazima wote wawepo mtani,mbona kina ndemla,sabilo,kina sure boy hawapo?kwani wale hawajui soka???.