Uhaba wa wanaume na kuongezeka kwa biashara ya urembo

Uhaba wa wanaume na kuongezeka kwa biashara ya urembo

M2WAWA2

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
3,285
Reaction score
5,598
Hakuna haja ya utafiti ni jambo lililo wazi sasa kwamba biashara ya urembo kwa wanawake imepanuka sana kufuatia uhaba wa wanaume.

Wanawake wamekuwa wafuasi wazuri wa makorokocho kwenye miili yao ikiwa ni mpango babukubwa wa kuwavuta wanaume.

Kama mjasiliamali unashauriwa kuuza bidhaa za urembo za wanawake na kama mzazi panga kuzaa watoto wa kiume zaidi ili kuleta uwiano huko mbeleni na kuleta usawa kwa wote kivitendo.

Kwa wanawake,kama unataka kuwa katika ndoa ishi kiasili na epuka kuwa bendera fuata upepo kwa kila ulimbukeni wewe unaita fasheni,kama ilivyo kwa uzee au kifo,mitusi mizito mizito na kejeli za hapa na pale hazikwepeki 100%.

Kwa niaba ya watu M2WAWA2.
 
kuna urembo na uzuri.....
urembo ni sanaa....sanaa ni kipaji..
 
Siku hizi wanaume wapo wengi, wanawake wapo wanatafuta maisha Wa kuolewa wachache labda Wa kuspend nao ndo utawaona wengi.
 
commercialization of love ,huambiwi ununue bali uchangie gharama za uendeshaji wa sector
 
leta takwimu nijue kama ni kweli wanaume tumekua haba,mie nijuavyo wanawake wamekua haba sana kuwapata
 
Back
Top Bottom