R Rojah mgecha New Member Joined May 1, 2013 Posts 2 Reaction score 0 May 3, 2013 #1 Hivi hao waliokufa kwa sababu ya haya matokeo,wakat ukwel kwa mujibu wa tume ni kwamba baraza ndilo lilo kosea! Hivi hizo familia za walengwa watajisikia vipi? Uhai wao nani anahusika?
Hivi hao waliokufa kwa sababu ya haya matokeo,wakat ukwel kwa mujibu wa tume ni kwamba baraza ndilo lilo kosea! Hivi hizo familia za walengwa watajisikia vipi? Uhai wao nani anahusika?