Uhai ulianzaje?

Wadau naomba kuuliza kwa anayejua, uhai ulianzaje?
Singularity, BOOM! [emoji95] big bang, universe ikajengeka, solar system, dunia.
Duniani sasa kwenye maji seli moja ikatengenezeka, ika mutate kua seli nyingi. Mutations and mutations ndio tukawa na uhai huu[emoji41]... kiufupi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Singularity, BOOM! big bang, universe ikajengeka, solar system, dunia.
Duniani sasa kwenye maji seli moja ikatengenezeka, ika mutate kua seli nyingi. Mutations and mutations ndio tukawa na uhai huu ... kiufupi!
Kha!
Umenikumbusha mbali sana Mkuu. Habari za Cell Mutation!
 
Kuku na yai kipi kilianza kuwa na uhai?
Kwa mtizamo wangu lilianza yai. Sayansi inaonesha kwamba hata haya mayai ya kuku yaliyorutubishwa yakiwekwa kwenye sehemu yenye joto linalohitajika (37 hadi 38 celsius), mfano kwenye pumba za mpunga au mahindi, linajiangua ndani ya kipindi cha wiki tatu....
 
Swala sio kutotolewa swala ni kuundwa kwa yai...
 
Tabia ya energy kubadilika kulsababisha maada kutokea physical form
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ