Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 402
wakuu nimeangalia kupitia mtandao wa NEC kuhajiji jina langu sijaliona! nimeana majina ya familia yangu tu. Sasa sijui bado daftari linaendelea ku-updatiwa au nimeliwa?
Tafadhari mwenyekujua taratibu anisaidie nifanye namna gani?
Fuata link below, unaweka namba ya shahada yako ya kupigia kura na email address, then click send, inakupa jina na kituo ulichojiandikisha. huweki jina.
The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage