sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 804
- 1,322
Mwenye ufahamu wa namna ya kuhakiki vyeti ili kujitayarisha kuomba mikopo ya HESLB anisaidie process inafanyikaje na vyeti gani vinahakikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sana broCheti cha kuzaliwa.
Ingia kwenye website ya RITA utapata muongozo kamili
Cheti cha kuzaliwa.
Ingia kwenye website ya RITA utapata muongozo kamili
nimeingia website hakuna mahali pa uhakiki, more directives please if you can
yes wametagaza na wameshapokea maombi over 13,000 na kuhakiki over 7,000. Anyway ngoja niende kwenye internet cafes wanafanya kwa malipo, I do not have the way out!Huwa wanaweka mfumo wa online kupitia website yao.
Je wameshatangaza kuanza kwa uhakiki?
Ok, fanya hivyoyes wametagaza na wameshapokea maombi over 13,000 na kuhakiki over 7,000. Anyway ngoja niende kwenye internet cafes wanafanya kwa malipo, I do not have the way out!
Mkuu umefanikisha hili na umefanyeje,,Mwenye ufahamu wa namna ya kuhakiki vyeti ili kujitayarisha kuomba mikopo ya HESLB anisaidie process inafanyikaje na vyeti gani vinahakikiwa
Wakuu hivi unawez kuendelea na process za kuomba mkopo kama bado hujahakkiwa cheti rita
Mkuu naomba nitajie attachment zote zinazotakiwa uapload wakati wakuomba mkopoNdio ila ikifika mahala ambapo unatakiwa ufanye attachment ya icho cheti kilichohakikiw inabidi uweke icho, so be careful
Mkuu naomba nitajie attachment zote zinazotakiwa uapload wakati wakuomba mkopo
Nashkuru mkuu kuna dogo nataka nimuombe mkopo yupo jeshini,,..Cheti kilichohakikiwa cha kuzaliwa
Cheti kilichohakikiwa cha kifo (kama kipo)
Copy ya kitambulisho cha mdhamini
Fomu ya sponsorship huko nyuma (kama uliwahi kuwa sponsored)
Nashkuru mkuu kuna dogo nataka nimuombe mkopo yupo jeshini,,..
Sasa nataka nikikaa pale najaza izo attachment to upload niwe nazo zote,,..
Nimesubmitt cheti chake cha kuzaliwa rita nakisubiria ili niendele na mchakato..