Uhakiki vyeti Rita ushaanza?

Duh hivi inachukua muda gani kurudishiwa majibu ya uhakiki tangu tareh 09/6/2021 mpaleo tarehe 16/06/2021 bado majibu.Kwenye mwongozo ni kuwa majibu yatapatika kwenye akaunti niliyofungua.
 
Duh hivi inachukua muda gani kurudishiwa majibu ya uhakiki tangu tareh 09/6/2021 mpaleo tarehe 16/06/2021 bado majibu.Kwenye mwongozo ni kuwa majibu yatapatika kwenye akaunti niliyofungua.
Tayari ni kupakua tu
 
RITA hawako serious na kazi Yaani tokea tar 18/06/2021 hadi leo 01/07/2021 hakuna chochote ukiwauliza wanachokisema hata hata hakiingii akilini.
 
Sajili lain yako ya uwakala kwa MAJINA yako
Tgo pesa 120000/
Airtelmoney 60000/
Halopesa 25000/
M-pesa 145000/
M lipa 50000/
Malipo baada ya kazi[emoji736]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…