Uhakiki wa Bima ya Chombo cha Moto

Duh! Nimejaribu kuhakiki ka-baby walker kangu, naambiwa "Chombo hiki cha moto hakina Bima". Bima imekatwa Nov 2016 tena comprehensive cover. Ngoja nikapambane na insurer.
 
Gari yangu nimeiona Ila ninayo nyingine kirikuu aionekani nilikatia sehemu mbili tofauti...... Inawezakana hiyo moja nimetapeliwa au awajaiuptodate kwenye system mkuu
 
Duh! Nimejaribu kuhakiki ka-baby walker kangu, naambiwa "Chombo hiki cha moto hakina Bima". Bima imekatwa Nov 2016 tena comprehensive cover. Ngoja nikapambane na insurer.
lol
 
Twafwaaaa nimeangalia na gari yangu nimelipia comphrehensive haipo du
 
Ila jamaa nawajua walipo ofisi zao posta naenda kuwawashia moto
 
Bima wahuni sana kuna gari sijaiona wakati nimelipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…