Nakumbuka wakati wa Kikwete waliteuliwa majaji wengi kwa mkupuo kupunguza uhaba wa majaji. Watu walihoji sifa za hao majaji kupewa nafasi hizo kama wana sifa stahili. Kama kawaida, umwamba wa JK alipuuza. Hata lissu aliwahi kuhoji hilo.
Je Mtukufu Rais yuko tayari kufanya uhakiki wa Watukufu Majaji?