Ally Hussein JumaKama una gari, kwenye kadi utaiona. Sasa kama ni leseni tu, nenda pale halafu taja majina matatu kama yalivyo kwenye leseni yako ya udereva, wao watasachi kimtandao, yatakuja majina mengi yanayofanana na ya kwako, lakini la kwako halisi litaonekana